Mikoa 9 ya Tanzania iliyotajwa kuchukua hatua kukabiliana na Ebola

Share it with your friends Like

Thanks! Share it with your friends!

Close

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu May 29, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari DSM ambapo amezungumzia kuhusu ugonjwa wa EBOLA ambao umekuwa kitisho katika nchi za Afrika akisema hakuna mtu aliyegundulika kuna na ugonjwa huo.

Comments

Write a comment

*